DONDOO ZA MAISHA YA KILA SIKU
May 2020 MAHUSIANO YAKO YANACHANGIA MAFANIKIO YAKO. Mahusiano ni muhimu sana kwa maisha yetu, mahusiano yanauwezo wa kukujenga au kukupoteza kabisa mahusiano mengi ya kwetu hua yanatuonyesha na kutuinua kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Ni muhimu sana kua na mahusiano ambayo yanatujenga na kutusogeza, kua na watu watu ambao wanaona ile ndoto iliyoko ndani yako, watu wanaofahamu unafanya nini na wanakusupport kwa kila hatua unayopiga, kukuamsha kila siku Asubuhi na kukumbusha kufanyia kazi ndoto zako. Tunahitaji marafiki ambao wanafahamu kitu gani ni bora kwako na ndoto zako ni zipi na wakati mwingine kukupa ata mwangaza na njia za wewe kufika hapo ulipo, marafiki ambao unaweza kuamka asubuhi au usiku wa manane watapokea simu na kusikilza shida yako na kama kuna namna ya kukusaidia watafanya ivyo bila kuomba samahani/Hudhuru kwa kutokufanya yale ambayo unayotaka wakusaidie AINA YA MARAFIKI WANAOJENGA. R...