Posts

Featured Post

DONDOO ZA MAISHA YA KILA SIKU

Image
May 2020                                 MAHUSIANO YAKO YANACHANGIA MAFANIKIO YAKO. Mahusiano  ni muhimu sana kwa maisha yetu, mahusiano yanauwezo wa kukujenga  au kukupoteza kabisa mahusiano mengi ya kwetu hua yanatuonyesha  na kutuinua kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Ni muhimu  sana  kua na mahusiano  ambayo yanatujenga na kutusogeza, kua na watu watu ambao wanaona ile ndoto iliyoko ndani yako, watu  wanaofahamu unafanya nini na    wanakusupport    kwa  kila hatua  unayopiga, kukuamsha kila siku Asubuhi na kukumbusha kufanyia kazi ndoto zako.      Tunahitaji marafiki ambao wanafahamu kitu gani ni bora kwako na ndoto  zako ni zipi na wakati mwingine kukupa ata mwangaza na njia za wewe kufika hapo ulipo, marafiki ambao unaweza kuamka asubuhi au  usiku wa manane  watapokea simu na kusikilza shida yako na kama kuna namna  ya kukusaidia watafanya ivyo bila kuomba samahani/Hudhuru  kwa kutokufanya yale ambayo unayotaka wakusaidie                            AINA YA MARAFIKI WANAOJENGA. R

Dondoo za maisha

Image
DONDOO ZA MAISHA: ISHI MAISHA YA FURAHA, PENGINE ULIPO SASA NDIO MBINGUNI YAKO  May 2020   mahusiano Duniani, kila saa, dakika au sekundi inapopitia kuna mambo mazuri yanatendeka. Hii inamaamisha dunia ndio sehemu pekee kuwahi kuona tukifurahia maisha. Kama utakuwa makini, utaliona hilo. Kama utakuwa tayari, utasaidia kuendeleza hilo. Hebu tuchukue muda kutafakari ni mazuri mangapi yanatokea katika mazingira yetu. Sasa hivi, wakati huu... 1. Kichanga kinavuta pumzi kwa mara ya kwanza baada ya kuzaliwa. 2. Wafanyakazi wawili wanakumbatiana na kucheka kwa nguvu kama hakuna anayewasikia. 3. Mlevi aliyesumbuka kuacha pombe kwa kipindi kirefu baada ya kupoteza dira ya maisha leo hatimaye anafurahi ameacha. 4. Mume na Mke wanafurahi hatimaye wamemaliza deni walilokuwa wanadaiwa na benki kwa kipindi cha miaka 10. 5. Mtu aliyekuwa na uzito kupindukia hatimaye anafu INTERESTING FOR YOU A Guy From Mwanza Became a Millionaire Using This Method Olymp Trade Dating An Asian Woman Might Be Easier Tha

WATANZANIA MATAJIRI DUNIANI

Image
Takriban watanzania 435 wamekuwa mamilionea wa  dola mwaka uliopita kulingana na ripoti ya utajiri ya Knight Frank. Waliojiunga katika klabu hiyo ya matajiri wana jumla ya thamani ya kati ya dola milioni moja hadi dola milioni 29 kila mmoja wao. Ripoti za awali ziliwataja watanzania matajiri kama Bwana Rostam Aziz, bwana Salim Said Bakhressa, marehemu Reginald Mengi, Bw. Ally Awadh, bw. Shekhar Kanabar, Bw. Fida Hussein Rashid, Bw. Subhash Patel, bw. Yusuf Manji na bw. Salim Turky. Kulingana na ripoti hiyo, jumla ya raia 5,553 wa Tanzania waliorodheshwa miongoni mwa watu wenye mapato ya juu mwaka uliopita, ikiwakilisha ongezeko la asilimia nane ikilinganishwa na matajiri 5,118 mwaka 2018 na 3,000 mwaka 2014. Hatahivyo ripoti hiyo haijasema kuhusu vyanzo vya mapato hayo huku baadhi ya matajiri kutoka taifa la Kenya wakihusishwa na siasa. Mo dewji billionea mdogo zaidi Africa Kulingana na ripoti hiyo idadi ya matajiri nchini Tanzania ilikuwa 5,668 mwisho wa mwaka 2019 ikilinganishwa na m

Watu wanne matajiri zaidi Duniani wanamiliki mali ambazo ni sawa na nusu ya watu duniani

Image
Meli ya kifahari inayo milikiwa na watu matajiri Utafiti uliofanywa na shirika la Oxfam la Uingereza unaonesha mabilionea wanane wanamiliki mali sawa na mali ya watu 3.6 bilioni kwa pamoja. Takwimu za shirika hilo, ambazo zimepingwa na baadhi ya wakosoaji, zinatokana na maelezo na habari za kina zilizokusanywa na shirika hilo, na zinaonesha pengo kati ya matajiri na maskini ni kubwa "kuliko ilivyodhaniwa awali". Ripoti hiyo ya Oxfam imetolewa wakati mkutano mkubwa kuhusu uchumi wa dunia unaanza mjini Davos .Kwa wale ambao wana malengo ya "kuangamiza kabisa umaskini uliokithiri", sana wanafaa kuangazia hatua za kusisimua ukuaji wa uchumi, ameongeza. Ben Southwood, ambaye ni mkuu wa utafiti katika Taasisi ya Adam Smith, amesema la muhimu zaidi si kiasi cha mali inayomilikiwa na watu matajiri zaidi duniani, bali ni hali ya maisha ya watu maskini zaidi duniani, ambayo inaimarika mwaka baada ya mwaka. "Kila mwaka, tunapotoshwa na takwimu za Oxfam. Takwimu ziko sawa

MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA

Image
Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula wa Binadamu Tafsiri:  utumbo mwembamba  (small intestine),  utumbo mpana  (large intestine),  ini  (liver),  kongosho  (pancrease),  ulimi  (tongue),  tumbo  (stomach),  tezi za mate  (salivary glands),  umio  (esophagus),  puru  (rectum),  mkundu  (anus) Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (pia: mwanya wa chakula [1] ) ni jumla ya  viungo   mwilini  mwa  binadamu  na  mamalia  wengine vinavyofanya  kazi  ya kuingiza  chakula  mwilini, kukisagasaga, kukisafirisha ndani ya mwili, kukimeng'enya, kuondoa  lishe  ya mwili ndani yake, na kutoa mabaki nje ya mwili. Kwa hiyo mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni njia yote kuanzia  mdomo  hadi  mkundu . Magonjwa  yake huchunguzwa na  elimu ya gastro-enterolojia . Kwa  lugha  nyingine unahusika na umeng'enyaji wa  chakula  mpaka kuwa katika hali inayoweza kusharabiwa na mwili. Ili chakula kiweze kutumika mwilini, ni lazima kivunjwevunjwe kiwe katika hali rahisi ya kuweza kusharabiwa. Kazi hiyo hufanywa